Mungu kwanza

QUOTES

*Perfection* 

Don’t wait for perfection on anything. 
No good work whatsoever can be perfect
Do the best you can and move on to the next project. 
Striving for perfection can stop you from achieving any results..
In many cases *Perfection is your enemy*
If you wait around for something to be perfect, you’ll die without accomplishing anything..

×××××××××××××××××××××××××××××
UJINGA WA MGALATIA MMOJA
Yeye anadharau dhahabu aliyoshika mkononi kwakuwa hataki kulipia gharama ya kuichakata. Anaona vitu vya wengine tu kuwa ndo vizuri. Akitembea anaona gari lake sio zuri kuliko lile mpaka anafika kumuona mpenzi au mke aliyenae kuwa si kitu kuliko yule wa Fulani wanaoongoza kwa kujipost. Learn to appreciate what you have and who you are and you will enjoy the realities of your soul. WENGINE NI WABAYA WAKIWA MBALI TU, NA KINYUME CHAKE.

RELATIOSHIPS AFFECTS DESTINIES

××××××××××××××××××××××××××××××

 If you don't know who you are, you will end up abusing most of the relationships that get closer to you. Kuna watu walikuja kwenye maisha yako kukusaidia ili ukue lakini kwa kutokujitambua ukaanza kuwafanyia mambo tofauti na sasa umebaki na watu walewale wanaokufanya ujisikie vizuri katika uharibifu wako. REAL PEOPLE ARE ASSETS.


Classified Mindset
RAPHAEL LYELA
×××××××××××××××××××××××××××××

Unamfahamu tu mtu unaanza KUMBEBISHA. Hizo ni akili za kuegesha, unaamini wewe uliumbwa kama mtu wa kila mtu kwa kiwango ambacho fikra zako zina haraka kwenye mambo ya tamaa, yaani hisia na mihemko. Jiulize, au chunguza aina ya watu ambao wanakuamini au unawaamini. SIO KILA MTU UNAEMFAHAMU LAZIMA AWE MWEMA.

Classified Mindset
RAPHAEL LYELA

××××××××××××××××××××××××××××××
A good, strong and reliable foundation must be built on impeccable values, principles and a crystal clear vision. Kama huoni hutajua pa kukanyaga. WITHOUT FOUNDATIONS THERE IS NO SUSTAINABILITY.

Classified Mindset
RAPHAEL LYELA

××××××××××××××××××××××××××××××
Blocking someone you love because now you hate them on social media and phone while you still have their image living so well in your heart ni KUJISUMBUA. KUPAKA RANGI NZURI YA KABURI HAKUONDOI LILE FUVU KABURINI. Block yourself, not those you can't control.

Classified Mindset
RAPHAEL LYELA

××××××××××××××××××××××××××××
Hebron: What’s past is done and gone forever. You can’t go back in time to undo anything. Accept what happened and seek forgiveness from the Almighty. The only thing to do is to go forward, learn from past mistakes and with hindsight, forgive yourself for not knowing better then.
×××××××××××××××××××××××××××
Hebron: At times, we condemn good people because we disagree with them over a few issues. We refuse to see the good they’re doing. Disagreements do not automatically make a person extreme, bad or evil. Learn to distinguish between the one who respectfully disagrees & the one who is evil!
××××××××××××××××××××××××××××
Hebron: God wants you to dream big. He wants you to use the imagination that He gave you because dreaming big honors God. It shows faith. It shows trust. You should base your dream not on what you think you can do, but on what you believe God can do.
××××××××××××××××××××××××××××
Hebron: It is important for you to know that God has not forsaken you, He has not forgotten you, and He has not lied to you. If He said it, He WILL do it! And though you might not understand the HOW, you do know the WHO, and that is where you can anchor your hope.
××××××××××××××××××××××××××××
Hebron: The promises of God DO NOT expire. Actually, the period between the promise and the realization of the promise can be the place where God is doing His best work in us. Even now, God is preparing you for what He has prepared for you.
××××××××××××××××××××××××××××
Hebron: Our God is a loving God. However, He is also a just God who demands His children to live up to a certain standard. God does not set this standard to burden us; instead, God sets a standard for us because He wants us to live our best lives and because He loves us unconditionally.
×××××××××××××××××××××××××××
Hebron: No more regrets! Those challenges was a part of your growth process. Because of it, you are wiser, stronger, humble, anointed and determined to win! Now, move forward by faith and not by sight, and remember, God is your life jacket.
×××××××××××××××××××××××××××
Hebron: Life is not fair. You will have problems and hurts that will make you better or bitter. You will either grow up or give up. You will become who God wants you to be or your heart will become hard. You have to decide how you are going to respond to the tough times in your life.
××××××××××××××××××××××××××
Hebron: It is so important to continually stay rooted in God's Word. When you do this, you will be equipped to rely on His truth. When uncertainty hits, nothing will be able to move or shake you from that foundation.
×××××××××××××××××××××××××××××
Hebron: You serve a God who will not only meet your needs but will also grant the desires of your heart!
×××××××××××××××××××××××××××××
Hebron: Let us not allow ourselves to get fatigued in doing good. At the right time we will harvest a good crop if we do not give up or quit. Therefore, every time we get the chance, let us work for the benefit of all, starting with the people closest to us in the community of faith.
××××××××××××××××××××××××××××
Hebron: Because Jesus has paid the price for our sins, we do not have to live condemned or unworthy. He has made us worthy! Let us remember that the Gospel is not about how wrong we are, but how good, loving and right He is.

Hebron: Any time you have a problem that is starting to get you down or making you frustrated, learn to see it from God’s point of view. Ask yourself, “What is God doing here? What is the bigger picture? What is the bigger perspective?” Then you will be able to face the problem in faith.

Hebron: If you are facing a problem, you have two options: You can worship or you can worry. And if you choose to worry, then I must ask you, how strong is your faith? Never forget you are a child of God and you have access to His authority through prayer. So do not worry, pray!!!

Hebron: People who trust in self are limited by self. People who trust in God are limitless.

Hebron: If you want to be a happy person, you need to look at every problem from God's viewpoint. Happy people have a larger perspective. They see the big picture. When you do not see things from God's point of view, you will become discourage and frustrated.

Hebron: You can trust God with everything you are because He is able to help you succeed. Now, that does not mean that God will give you all the money, fame, or power you want. But if you trust Him, God will help you succeed in what He has called you to do and be.

Hebron: We all can find plenty of reasons to quit. But you were not created to quit, to give up, or to settle. You were created to overcome, to be the head and not the tail, to be a world changer.

TRUTH POINT: God does not call the qualified, He qualifies the called. He leads us in how to live fearless so we can fulfill our calling. To live boldly and courageously in the face of difficulty and to amaze the world by beating the odds, all for His glory.

Classified Mindsets

Hebron: You can choose how you react to what life throws your way. You can get angry, stressed out or shrink into depression, or you can respond gracefully. The choice is always yours. God has called us to respond to slights with calmness, love and truth. Trust God to fight your battles.

Hebron: The distance between who you are, and who you want to be is separated only by your actions! Study the actions of Jesus, then copy those actions.

Hebron: It is human nature to forget things, and at times, we can even forget the calling,  God has placed on our lives. This is why it is crucial to take the time to evaluate where you are and where you are going. Meditate on the Word of God and submit to His plan for your life daily.

Classified Mindset

Hebron: Have you ever met someone you quickly disliked? We all have, but how could we dislike someone that we barely know? We have to learn to think about people the way God thinks about them. As we do, we'll recognize each person as a valuable possibility instead of a potential problem.

Classified Mindset

Hebron: Despite what you lost, despite who was against you, despite the mistakes you made, God’s calling is still on your life. Your assignment is still waiting for you. New levels are still in your future.

Classified Mindset
Hebron: The most effective way to let other people know about the great things that God can do in their lives is to tell them the story of what God has done in your life.

Classified Mindset 

Hebron: Do you want to know one of God's answers for despair? Once again, it is community! You were made to share your life with others! Connect with people who will support you through life, who will rejoice with you in your victories and weep with you during your hardships.

Classified Mindset

Usiseme amekusaliti wakati hakuna makubaliano yoyote ya kutokusalitiana. Kama hakuna makubaliano basi hakuna kusalitiana. Usaliti mzuri na unaouma sana ni ule ambao kuna makubaliano kati kati. Sio kila usaliti ni usaliti, mengine ni ujinga wa kutokujua unayotakiwa kujua. Ndo maana usiwe mwepesi sana kuumia kama unadhani umesalitiwa. Pima vizuri kama ni kweli usaliti upo hapo au la.

BETRAYAL IS A FUNCTION OF AGREEMENT. UNTIL YOU AGREE NOT TO BETRAY, YOU HAVE NOT BETRAYED.

 WEWE SIO NDEGE WA KUFUGWA,DONT HANG OUT WITH DOMESTIC BIRDS. TAFUTA TAI WENZAKO. INCREASE THE ELASTICITY OF YOUR MIND BY CHOOSING THE RIGHT MINDS.


HATA NJIWA NI NDEGE KAMA TAI ILA KUNA NAMNA.

Kuweka cover la simu ya Apple na huku simu yako ni tecno,kwanza hakuibadilishi simu yako kuwa apple,pili kunakufanya uwe mnafiki wa kudhani akilini una una simu ya apple na mkononi una tecno,tatu unawadanganya watu kwakuwa mjivuni na mwisho ni ISHARA ya kutojikubali kwakuwa hujajitambua vyema. 


DEBE TU LINAPIGA SANA KELELE.
Raphael Lyela
Please understand, God did not place you on this earth to be the best you can be and do the best you can do alone. He s given you the gift of the Holy Spirit to help you and empower you to fulfill His calling on your life and impact others for His Kingdom!

Hebron: God has an awesome plan for your life, a destiny specially designed for you to walk in alongside Him. But everything we do stems from the condition of our hearts. So before we can begin walking in our calling, we have to let the Lord strengthen us from the inside out.

Hebron: Many people have difficulty trusting God because of past hurts. But God is not like the people who have hurt us. We can trust Him!

Hebron: What does it really mean to love the Lord with all of your heart, soul, mind and strength?

It means to give God every part of you, putting Him at the center of every situation you face and continually pursuing Him through your praise, prayer and patience.

Hebron: God has spoken significance, joy and goodness over you since the day you were born. So walk toward God in confidence, knowing He has a plan for you — one that is far greater than you could ever imagine.

Hebron: The truth is, most of the things that stress us out are things we cannot do anything about. So we have to trust God. We have to trust that He is good and He does good, and even when things do not feel good, we have to trust that God is working all things together for our good.

Classified Mindset

Hebron: God has an awesome plan for your life, a destiny specially designed for you to walk in alongside Him. But everything we do stems from the condition of our hearts. So before we can begin walking in our calling, we have to let the Lord strengthen us from the inside out.

Classified Mindset

Hebron: Every miracle is a result of someone praying and taking authority over circumstances by standing on the Word of God.  

Endelea kupenda kuombewa, pewa sana maji ya upako, Chumvi n.k wakati juhudi ya kutaka kujua maandiko huna
Miujiza iko kwenye Neno la Mungu. 

Classified Mindset
Hebron: If God placed something in your heart, He will equip you to do it. Do not worry about how it is going to get done, just step out and trust God.

Classified Mindset

Hebron: No matter how many times people shoot down your dreams, remember you have an appointment with destiny. Do not let their opinions delay your blessings!

Classified Mindset

Hebron: Do not live at random! Beware of thinking that what you do is insignificant. God notices even the smallest things. Everything matters to God.

Ooh hallelujah  Hii pia ni Sababu ya kukupenda MUNGU wangu

Classified Mindset

Hebron: Your value is not based on what you look like, what you do, or who you know. And you are not defined by your past; you are prepared by your past. And your value comes from God. This means you are strong, amazing, and have the favor of God.

GOD IS A SOURCE OF MY VALUE 

Classified Mindset
Hebron: Life is too short to waste your valuable time with the wrong people. To reach your highest potential, you have to surround yourself with eagles, with people that push you forward, people that make you better, people that help you to soar.

WATU NI MUHIMU KUFIKIA MAFANIKIO, ILA CHAGUA WATU WAZURI

Classified Mindset

Hebron:Usioe au kuolewa na Mtu kwasababu tu ni Mwanamaombi NDOA is more than MAOMBI.. Usioe au kuolewa na mtu kwasababu eti unamwonea huruma.. 
Usioe au kuolewa na mtu eti watu wanasema ninyi wawili mtakuwa na NDOA nzuri... 

Develop as self convictions and Values
KUSUDI ni muhimu 

Classified Mindset

Hebron: Because you have been made right with God, you can stop comparing yourself to and competing with everyone else. Our acceptance is not found in being like someone else, but in being who we are through faith in Christ. Be the best "you" that you can be! 

FIND VALUE IN GOD

Classified Mindset

Hebron: Don't be moved by small things: traffic, people, disappointments, mistakes. Life is too short to let your circumstances determine your joy.
FURAHA YA BWANA NDIYO NGUVU YANGU

 Hebron: If you only invest in people that are at the same level as you, you’ll get stuck.  Just like the wrong people will pull you down, the right people will pull you up. 

Mtego una nguvu lakini haina maana lazima utegeke, Kutegeka pia ni Maamuzi

Classified Mindset
Hebron: God loves you unconditionally. You're a special person. You're valuable. You're wonderful. God's got a good plan for your life. But, if you don't walk in obedience to God, nothing's going to work.
Classified Mindset 

Hebron: True freedom is not getting everything you want; it's being able to be happy and emotionally stable when you don't get what you want.
Classified Mindset


Hebron: When we face difficulties, one of the best things we can do is find a promise in the scripture and remind God what He said about us. Don’t just pray the problem, pray the promises.
Classified Mindset 

Hebron: Do the right thing when it’s hard. Keep a good attitude when people are not treating you right. Go the extra mile when nobody is watching. You may not see anything happening, but you’re getting prepared to go to new levels. 

NAJUA NI NGUMU  ILA IMEZE TUU

Classified Mindset



_[Love Driven Relationships]_
Ukitoa zawadi kwa mpenzi wako kwa sababu tu unataka asikuone vibaya, asijisikie vibaya au asikuchukie, au watu waone unampenda ni tofauti na ile ambayo unaitoa kwa moyo wako wote kwa sababu unampenda. Msukumo mwingine wowote tofauti na kupenda una majuto na mawazo tele ndani yake na wala si furaha halisi.! Ndio maana, hata utakavyojisikia baada ya kutoa kutatofautiana kulingana na nia na msukumo wako wa kutoa.!* [Na hii si kwa mpenzi tu hata kwa Mungu ni vivyo hivyo.]
"Kuwa Halisi na Fanya kwa sababu ya UPENDO na si sababu nyingine yoyote."

#BeWise!

 CLASSIFIED MINDSET

When you wait on the Lord by faith, you draw everything you need from Him. He is your refuge, your enabler, your joy, your peace, your righteousness, your hope. He gives you everything you need to live in victory over any circumstance. Amen!

Hebron: Until we learn to glorify God by our attitude during hard times, we won't get delivered. It is not suffering that glorifies God, but a godly attitude IN suffering that pleases Him and brings glory to Him.  
#truth
Classified Mindset 2019


Hebron: Measuring your IMPACT on PURPOSE by the number of LIKES in social medias is like running away from your own shadow in total darkness. Impact is fulfilling your purpose in the life of people according to God's Plan for you. Mitandao ya kijamii inaweza kuongeza kiwango chako cha uigizaji,kama unabisha piga selfie mara baada ya kuamka na uipost. ORIGINALS HAS NO COPIES.
Ushirika na Mungu!

 Huduma ni ya Mungu sio yako, usilazimishe kukubalika/kuonekana. Tuzo utaipata baada ya kufanya mapenzi ya Mungu sio kwenye KORA. Kutii ni bora.
Kubali kubadilika.
Ushirika na Mungu!

 Kuwa chini ya mamlaka sio ushamba au utumwa. Mungu ndiye mamlaka kuu. Umaarufu na kipaji visikufanye ukatae maonyo. Kumbuka kabla ya heshima hutangulia unyenyekevu
Mithai 15:33
Ushirika na Mungu


 Chagua wa kumwamini ambaye hutatahayarika, ambaye utamwamini hata mambo yakionekana hayaendi. Pale ulipojifichia tokezea hapo. Jiamini, anza tena hata kama chanzo cha kukosea ni wewe rekebisha hapo sogea mbele. Pale ulipokwamia ndipo pa kuanzia.
Ushirika na Mungu!

 Maandishi ni njia nzuri ya kuweka kumbukumbu ya mipango. Haijalishi umepanga mangapi mwaka huu, Je ulimshirikisha Mungu katika mawazo yako? Au ulijiona unajitosheleza? Ukikosea kuwaza utakosea kupanga. Kwa nini umepanga kufanya hayo uliyoyapanga? Imekuaje yameshindakana mwaka huu lakini unaona yatafanikiwa mwakani?
Angalia uhalisia wa maisha yako, ujionavyo nafsini mwako ndivyo ulivyo.
Jitathmini!
Mungu kwanza!


 Ukishawishiwa sio lazima ushawishike japo ushawishi una nguvu. Angalia nani anayekushawishi. Uliyekuwa naye mwaka huu sio lazima uwe nae mwakani. Fanya kwa viwango sio kwa mazoea. Ukaribu wenu usiwe sababu ya kuangamia.
Ushirika na Mungu!


Tafuta kujua yale Mungu aliyokuandalia ndani ya mwaka mpya. Lakini huwezi kujua uwezo wako kama hujawahi kufanya. Jambo la msingi ni kuamua. Nia iliyo ndani yako ndiyo itakuongoza ufanye mazuri au mabaya, upite njia iliyonyooka au ya uharibifu ili tu ufanikiwe. Kujua nia yako jiulize kwa nini.
Mungu kwanza!


Kujua upekee wako kunahitaji bidii. Bidii kwenye kila kitu. Wewe ni tofauti, utofauti wako ndio wewe. Do it your way.
Ushirika na Mungu!


Kuna utajiri katika kusoma, read and re-ready. Usisahau kuandika, wala usipotezee wazo lolote utakalolipata. Kumiliki ni process.
Mjue Mungu uwe na amani.
Jesus up!


Fanyia kazi uliyojifunza, uliyoandika, uliyoyapanga. Usitegemee miujiza, ushabiki sio kuwa! Do it na uhakikishe unafanikiwa.Aliyekuacha hai ana haja nawe. Usisahau yote ni mali yake kaa kwenye utaratibu!
Mungu kwanza!



Quotes by Raphael JL:
'Kumuamini mtu asiyeaminika ni kujitegea mtego mwenyewe, utakaokuharakishia anguko lako.  Mtego huonekana kwa Sura nzuri na ya kuvutia hasa pale usipojua siri ya mtego; hicho kinachovutia. Na ndio maana ndoana bila chambo haijawahi mtega samaki, labda awe kilaza. Mitego ipo tu ila kutegeka ni maamuzi.

Raphael JL
Jesus Up!

Quotes by Raphael JL
"Kinachoweza kukusaidia usitegeke  na nguvu ya mtego/ ushawishi wa aina yoyote ni  kiasi cha wema uliojaa ndani yako maana kwa hali ya kawaida huwezi kukataa jambo baya na hasa unalolipenda na linakuvutia; kama uzuri unaoonekana katika ubaya una nguvu. Kumbuka, ushawishi wa wenye dhambi unanoga zaidi kama hao wenye dhambi ni watu wetu wa karibu ambao tunawaamini na wamepata kibali ndani yetu. Jiulize  kwanini Marekani huwa haipigani vita ndani ya ardhi yake, siku zote watawafuata adui zao huko wanakokaa.

Raphael JL
Ushirika na Mungu.

Quotes by Raphael JL: Kumuamini mtu asiyeaminika ni kujitegea mtego mwenyewe, utakaokuharakishia anguko lako.  Mtego huonekana kwa Sura nzuri na ya kuvutia hasa pale usipojua siri iliyo ndani yake; hicho kinachovutia. Na ndio maana ndoana bila chambo haijawahi mtega samaki, labda awe kilaza. Mitego ipo tu ila kunaswa nayo ni maamuzi.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL: Kinachoweza kukusaidia usitegeke  na nguvu ya mtego/ ushawishi wa aina yoyote ni  kiasi cha wema uliojaa ndani yako maana kwa hali ya kawaida huwezi kukataa jambo baya na hasa unalolipenda na linakuvutia; kama uzuri unaoonekana katika ubaya una nguvu. Kumbuka, ushawishi wa wenye dhambi unanoga zaidi kama hao wenye dhambi ni watu wetu wa karibu ambao tunawaamini na wamepata kibali ndani yetu. Jiulize  kwanini Marekani huwa haipigani vita ndani ya ardhi yake, siku zote watawafuata adui zao huko wanakokaa.
Ushirika na Mungu.!

Quotes by Raphael JL: Njia ya pekee ya kuweza kushinda vishawishi/ mitego ni kuwa na maarifa ya kiMungu ndani yako na maarifa hayo chanzo chake ni KUMCHA BWANA; kuishi katika hofu ya ukuu na utakatifu wake na kuendenenda chini ya mamlaka yake. Ni kuishi ukijua kuwa Mungu yupo na anatazamia uenende katika njia ikupasayo mbele zake. Maarifa ni ujuzi wa werevu au wa kujua, kuwa na maarifa ni kuwa na uwezo mkubwa wa kujua namna mbali mbali za kufanya jambo au mbinu amazo zote ni jumla ya ufahamu wako. Huwezi kusema unampenda Mungu halafu ukachukia maarifa yake.
Ushirika na Mungu!

ASSIGNMENT:
Quotes by Raphael JL:uzuri wa mtego n kwa aliyetegwa, n mambo mangapi mabaya ila yanavutia kwa ajili ya chakula.Tunda lilivutia sana ila ndo chanzo cha laana.MACHO YA LUTU SIO YA IBRAHIM.

USHIRIKA NA MUNGU
Bethshaba AL
------------------------------------


Ugumu wa tatizo n kwa mwenye tatizo,tatizo halidumu ila uharibifu.Uharibifu umefungwa ndani ya uzuri wa Chambo.Usiwe mbuzi kwenye gunia.Wenye dhambi wanapokushawishi huwezi kukubali kama huna sababu.hahahaha je kuna Mtu mwema kuliko MUNGU.

USHIRIKA NA MUNGU
Bethsheba AL
----------------------------------


Maarifa ni Mungu.
Maarifa ni kumcha Mungu
Maarifa yapo ndani ya Mungu na uhakika juu ya neno lake.Je wewe Bethsheba unamaarifa/Mungu/neno lake?kwenda kwenye masemina,kambi,ibada kila siku bila kuamua kayataka maarifa haya ni kula kimbunga.

USHIRIKA NA MUNGU.
Bethsheba AL

Quotes by Raphael JL: Ukaribu ni matokeo ya uwekezaji, na uwekezaji ni mkakati wa kukupa mwelekeo wa kufikia kule uendako. Hata kama Bwana alikuonyesha, bado una kazi kubwa ya kujenga ukaribu ili uyafaidi mahusiano yako, kwani bila hivyo kuna kina cha uhusiano hutaweza kufika. Ukaribu ni Msingi wa mahusiano.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL: Ukaribu ni matokeo ya uwekezaji, na uwekezaji ni mkakati wa kukupa mwelekeo wa kufikia kule uendako. Hata kama Bwana alikuonyesha, bado una kazi kubwa ya kujenga ukaribu ili uyafaidi mahusiano yako, kwani bila hivyo kuna kina cha uhusiano hutaweza kufika. Ukaribu ni Msingi wa mahusiano.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL: Kupanga sio tatizo, Je unapanga na nani??Na Unajuaje kama mipango yako ni sahihi?.
Kama utapanga peke yako na ukaona Mungu hana nafasi katika mipango yako, bhasi nenda shamba kapande mbegu labda zitaota. Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, bali jawabu la ulimi hutoka kwa Bwana.
Ushirika na Mungu.!

Quotes by Raphael JL:Linda sana ufahamu wako. Linda mawazo yako. Linda nafsi yako. Linda moyo wako. Ufahamu wako ukipotoshwa ujue hakuna kitakachobaki salama. Uwe makini na vitu au watu unaowapenda maana adui yako anaweza kuwa wewe mwenyewe ukijificha ndani ya rafiki zako. Vita kubwa zaidi iko ndani ya fikra na mawazo yako. Chuja sana taarifa unazokubali ziwe sehemu ya mawazo yako. Moyo ukihamishwa,hakuna kinachobaki pale pale,kumbuka,moyo unaishi penye hazina. Ukishinda ndani,utafanikiwa nje. Isimamie vizuri milango ya fahamu maana ndio ikupayo ufahamu. RAIS HALINDWI KWA MANATI. Kiwango cha ulinzi kinategemea umuhimu,ubora na thamani ya kinacholindwa. Moyo wako ni muhimu kuliko smartphone,weka pattern ngumu za kulinda moyo. UKIKOSEA MLANGO,HUWEZI KUPATIA CHUMBA. Happy 2018,God willing.

Ushirika na Mungu!


Quotes by Raphael JL:Usilazimishe mtu akupende,kamwe. Usilazimishe kupendwa,kamwe. Kumbuka kupenda ni kuchagua. Usijilazimishe kuchagua wala kuchaguliwa. Ni mambo mengi sana unaweza ukawa unayaepuka ukiacha maji yafuate mkondo. Usije sema uliomba samaki ukapewa nyoka. KUWA NA NGUVU NI PAMOJA NA KUWA NA MAARIFA.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL:Utabaki hivo hivo ulivyo kama hujaamua kufanya kwa jinsi ya tofauti. Bila maamuzi huwezi kupiga hatua wala huwezi kukua. Kuogopa kulipa gharama ya kuamua na huku unatarajia kuwa mtu wa tofauti ni sawa na kulowana kwenye mvua ukidhani umeshaoga tayari. CHANGE FROM WITHIN IS REAL.
Ushirika na Mungu!

Quotes  by Raphael JL:You cant be a Field Marshall without going to the field. Every greatness has a process. Every process obeys some principles. Usiogope Mchakato kama unataka ukuu. WE WALK BY FAITH,NOT SIGHT.
Ushirika na Mungu!


Quotes by Raphael JL:Kama hauko tayari kubadilika na kufuata anachoamini NENDA KAPANDE MBEGU ZITAOTA. Kama hayuko tayari kubadilika na kufuata unachoamini MSHAURI AAMUE UPYA. Kama hamko tayari kukubaliana juu ya MNACHOAMINI KAMA FAMILIA endeleeni tu kuhudhuria sinema.Mahusiano thabiti yanajengwa katika kuwa na NIA MOJA,yaani PAMOJA KWA UMOJA. Jesus Up!
Ushirika na Mungu!


Quotes by Raphael JL:Kama huamini anachoamini ACHA KUMSUMBUA. Kama haamini unachoamini MUAGE AKAENDELEE na kazi. Mahusiano thabiti yanajengwa ktk msingi wa IMANI MOJA. Watu wanaoamini vitu viwili tofauti wakikaa nyumba moja wameamua kujijaribu. Kumbuka,kumwamini KRISTO YESU sio dhehebu,ni mahusiano. RELATIONSHIPS AFFECT DESTINY.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL:Utajuaje wewe ni mtumwa wa rafiki yako? Angalia jinsi unavyolegeza vipimo na kanuni ili kumridhisha na ili  asijisikie vibaya. Utumwa mzuri zaidi ni kujua hivo na bado unaogopa kuwa mkweli. UTUMWA UNA RAHA YAKE KAMA KUPOTEA.
Mungu Kwanza-YKM!


Quotes by Raphael JL:Obidience to God's laws is the only way to achieve real happiness. God's word is true and truth. No matter how corrupt the world become,just stay strong to God and His word. YESU KRISTO NI SALAMA NA AMANI.
Ushirika na Mungu

Quotes by Raphael JL:Kuigaiga mambo ya wengine kunalemaza akili. Huu ni ulemavu mkubwa zaidi kama umekupata maana haihitaji KUVAA MIWANI. Kuiga kunaua UBUNIFU uliopewa na Mungu. Tofautisha kati ya kuiga na kujifunza. Kadri unavyozidi kuiga ndivyo unapoteza UTAMBULISHO wako. Kaa chini ujipime. Ukitaka kujifunza vizuri,acha ushabiki. ULEMAVU WA AKILI NI MZIGO.
Ushirika na Mung

 Quotes by Raphael JL:Kujutia kosa bila mabadiliko ya tabia na mwenendo ni sawa kulipa kosa likizo,kumbuka usipojifunza kwa kosa la jana hutalikwepa kosa la kesho. KILA KOSA NI SHULE,kujifunza ni maamuzi.
Mungu Kwanza-YKM!


Quotes by Raphael JL:Kuigaiga mambo ya wengine kunalemaza akili. Huu ni ulemavu mkubwa zaidi kama umekupata maana haihitaji KUVAA MIWANI. Kuiga kunaua UBUNIFU uliopewa na Mungu. Tofautisha kati ya kuiga na kujifunza. Kadri unavyozidi kuiga ndivyo unapoteza UTAMBULISHO wako. Kaa chini ujipime. Ukitaka kujifunza vizuri,acha ushabiki. ULEMAVU WA AKILI NI MZIGO.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL:Kujutia kosa bila mabadiliko ya tabia na mwenendo ni sawa kulipa kosa likizo,kumbuka usipojifunza kwa kosa la jana hutalikwepa kosa la kesho. KILA KOSA NI SHULE,kujifunza ni maamuzi.
Mungu Kwanza-YKM!

Quotes by Raphael JL:Kuambatana na mtu anaetaka umpende na kumthamini kwa kiasi ambacho uko tayari hata kutenda dhambi na kumkosea Mungu kwa faida yake ni sawa na kukimbia mchakamchaka juu ya kokoto kwa kutumia kichwa. FIND VALUE IN GOD

Quotes by Raphael JL:Kumchukia mtu anaesema au anaekwambia ukweli unaokuuma hakukufanyi wewe kuwa mkweli,wala hakumfanyi yeye kuwa muongo. Badala ya kujihesabia haki na kumuona anaekwambia ukweli kuwa anajifanya anajua ni heri kujifunza na kubadilika kwenye yale unaambiwa hata kama yanauma. Uongo hata usemwe na Profesa haubadiliki kuwa ukweli na ukweli hata usemwe na usiempenda hauwezi kuwa uongo. MABADILIKO NI MAAMUZI. Truth Frees.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL:Usimlazimishe mtu kubadilika hata ikiwa ni kutubu na kumkubali Bwana Yesu,kwani kila mtu hubadilika akiwa tayari na akiamua. Hakuna mabadiliko ya ghafla au ya suprize,mabadiliko ni mchakato. Usishangae anaekupinga leo akakuelewa sana kesho au siku ya uhitaji. Usishangae anaekuelewa sana leo akaja kuwa mwiba kesho. Mkubali Mungu ukaishi. Yesu ndie njia ya kweli yenye uzima. ADUI WA KUDUMU NI SHETANI TU. 
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL:Love becomes unconditional when all conditions in place have been  dealt with, and not ignored. Deal with each condition until no condition qualifies your choice. At that point,love is a choice indeed. Who you are must remains even after what you have is gone.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL:Kile unachoweza kufanya hata ukiwa umechoka ndo kinachoutawala moyo wako na kutafsiri juhudi na bidii yako yote. Kuna mambo ukichoka huwezi kufanya,ila mengine usingizi unaondoka wenyewe. JIPIME. Uwe mkweli ukikumbuka kuwa UBAYA UKO NDANI YA MTU sio kwenye simu yako. Kitu chochote au mtu yoyote anaekuja kuharibu mahusiano yako na Mungu ni adui yako,kabla hujawaona maadui wa nje,JIPIME WEWE KWANZA. TRUTH FREES.
Ushirika na Mungu!

Hebron: Kukata tamaa kwakuwa mambo ni magumu hakuongezi uzuri au faida yoyote kwako. Zaidi sana kuna kujengea fikra ya kutojiamini na hata kuukataa uwezo wako mwenyewe. Kumbuka ugumu wa jambo haimaanishi haliwezekani. Next time ukitaka kukata tamaa jiulize kwanini ulianza hilo jambo,jiulize unawafunza nini wanaokutazama. Kukata tamaa ni maamuzi ya kujitegemea kiuwezo. TRUST IN THE NAME OF THE LORD.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL:Kubaki unaumia kila unapoliona kovu la mateso na maumivu ulopitia na kufanyiwa na hata watu wako wa karibu ulowaamini ni sawa kujivunia tabia nzuri ulokuwa nayo zamani ila sasa huifanyi. Kama kovu lako halijakufundisha kitu basi utumwa una raha yake.CELEBRATE YOUR SCARS. 

 Jesus Up!

Quotes by Raphael JL:Kwakuwa watu wa dunia hii wanasema mafanikio ni kumiliki mali nyingi,wanaweka HAZINA yao duniani. Bwana Yesu anatutaka tuweke HAZINA zetu mbinguni. Usipojua hazina ni nini,huwezi kujua unaiwekaje mbinguni. Kumbuka HAZINA YAKO ILIPO NA MOYO UPO hapohapo. GOD IS MY SUCCESS.

Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL:Kama hauko tayari KUTENGANISHWA NA KIFO na mtu unaetaka kumuoa au kuolewa nae JIULIZE tena kama unajua unachokifanya,usije ukasingizia umri. Sababu inayokuunganisha itakutenganisha pia. RELATIONSHIP BY DESTINY. 
Ushirika na Mungu!


 Quotes by Raphael JL:Watu wenye maono huwa hawaeleweki mwanzoni. KISIKUSUMBUE. Huo ndo utofauti kati ya ndege wa kufugwa na TAI. Keep moving. DONT IGNORE THE SMALL BEGINNINGS. Maono yana nguvu ya kulinda tabia,pasipo maono hapana mwelekeo. VISION PROTECTS.
Ushirika na Mungu!


 Quotes by Raphael JL:Hata njiwa ana macho. Kikubwa ni unaona nini mbele. Hata bundi ana macho. Kikubwa sio ukubwa wa macho bali uwezo. KISIKUSUMBUE kwamba hueleweki,asiekuelewa anaweza akawa hajielewi sana tu. Mtu asieona mbali sio kwamba hana macho,anahitaji ufahamu sahihi. Uwezo wa macho kuona inategemea na LENSI yake. Kama una maono usisubirie kueleweka na kila mtu,kubali tu kulelewa. FIND YOUR FELLOW EAGLES.
Ushirika na Mungu!


 Quotes by Raphael JL:Kubarikiwa ni kupewa kibali au kuruhusiwa KUFANIKIWA popote utakapokuwa na chochote utakachogusa bila kuiba,rushwa au kinyume na sheria. Ni zaidi ya kumili uwingi wa vitu vinavyoonekana. Siku nyingine usiseme umebarikiwa kwa kuwa na gari au mali ya wizi. KARAMA YA MUNGU HAINA MAJUTO.
Ushirika na Mungu!


 Quotes by Raphael JL:Kubarikiwa ni kupewa kibali au kuruhusiwa KUFANIKIWA popote utakapokuwa na chochote utakachogusa bila kuiba,rushwa au kinyume na sheria. Ni zaidi ya kumiliki uwingi wa vitu vinavyoonekana. Siku nyingine usiseme umebarikiwa kwa kuwa na gari au mali ya wizi. KARAMA YA MUNGU HAINA MAJUTO.
Ushirika na Mungu!


 Quotes by Raphael JL:Ukiona binti anavaa nguo ambazo zinaonyesha nusu ya mapaja yake ujue ana akili za mapajani,ni wazi kwamba hajajitambua na kujua kuwa sebuleni hukaa watu wote ila chumbani kuna sheria. Unaowavutia kwa mapaja omba sana usiumwe upele. HATA MBUNI ANA MAPAJA. 
Ushirika na Mungu!


 Quotes by Raphael JL:Ukiona unagombea nafasi ujue hauko kwenye nafasi yako halisi. Ukiwa kwenye nafasi yako unapata amani ya utoshelevu na kuridhika. Nafasi yako ndio inayotafsiri kusudi lako. STAND IN YOUR POSITION. Tai hagombei nafasi yake. FIND YOUR FELLOW EAGLES.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL: Ukiona binti anavaa nguo ambazo zinaonyesha nusu ya mapaja yake ujue ana akili za mapajani,ni wazi kwamba hajajitambua na kujua kuwa sebuleni hukaa watu wote ila chumbani kuna sheria. Unaowavutia kwa mapaja omba sana usiumwe upele. HATA MBUNI ANA MAPAJA.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL:Kubarikiwa ni kupewa kibali au kuruhusiwa KUFANIKIWA popote utakapokuwa na chochote utakachogusa bila kuiba,rushwa au kinyume na sheria. Ni zaidi ya kumiliki uwingi wa vitu vinavyoonekana. Siku nyingine usiseme umebarikiwa kwa kuwa na gari au mali ya wizi. KARAMA YA MUNGU HAINA MAJUTO.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL:Usiogope kulipa gharama ya kufanya maamuzi kama una mpango wa kufanikiwa bila kuiba au kutumia uchawi au kula rushwa. Kuwajibika ndio msing wa kukua. Huwezi kukua na kuendelea kama unajihurumia katika kufanya maamuzi. Usijishangae ulivyo leo,ni maamuzi yako tu.  WAJIBIKA.
Ushirika na Mungu!


 Quotes by Raphael JL:Kuna watu hawatakukubali hata uwaokoe kwenye moto. Usisubirie kukubaliwa na watu ili ujue unachofanya kina maana. Huwezi kuchukiwa au kupendwa na kila mtu. Kama Bwana Yesu pamoja na usafi wa moyo wake lakini mpaka leo kuna watu hawampendi wala kumkubali, sembuse wewe? Akikuelewa Mungu,wote wenye Mungu watakuelewa,RELAX. Hakikisha Mungu yuko upande wako kwa kila jambo. KUPINGWA SIO KUZUIWA.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL:Jifunze KUJITEGEMEA kwa KUMTEGEMEA Roho Mtakatifu katika bidii yako binafsi ya KUMLINGANA BWANA na kuutafuta uso wa Mungu. Kama umefungwa kwa kumuona unaemwita Dady au Papaa au Senior Spirit kuwa bila yeye maisha yako ya kiroho hayana mwelekeo ujue wewe unaiabudu hiyo sanamu. Ukimuona mtu anaiinua nafsi yake kwako na anakutaka mpaka utambae kwa magoti umuonapo kuliko anavyotamani Bwana Yesu ainuliwe maishani mwako ujue huyo ni mfalme wa Babeli. Jifunze kuwa na bidii binafsi ya kumtafuta Mungu wako kwa msaada wa Roho Mtakatifu. ONLY GOD IS TO BE FEARED.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL: Any strong relationship must be built, rooted, grounded and established under ONE AND SAME SPIRIT and MOTIVE. Two types of spirits or motives cant make a good relationship. The motive and motivation of a relationship should be the same and one. You have no DESTINY if you see different conflicting things in a relationship. NIA YA MAHUSIANO LAZIMA IWE MOJA INAYOFANANA.
Ushirika na Mungu!

 Quotes by Raphael JL:To solve the question of discovering the purpose of your life,one must know first the TRUE SOURCE OF LIFE. This is because every life has a purpose,so the giver of life know WHY. MCHAGUE MUNGU LEO. Kusudi la maisha yako sio la kubuni,limetoka kwa Mungu. MIMI SIO AJALI. Mimi ni wazo la Mungu. CHOOSE GOD,CHOOSE LIFE.
Ushirika na Mungu!


 Pastor Raphael: Simama imara. Be strong. Usikate tamaa. Usichoke. Usichoshwe. MWAMINI MUNGU. Utavuka salama. Usiyumbe. Usiyumbishwe. Vumilia. STAND WITH GOD. STAND IN GOD. Hakuna gumu asiloliweza Mungu wetu. Hachelewi,hawahi. TRUST IN THE LORD. REJOICE IN HIM.
Ushirika na Mungu!


 Quotes by Raphael JL:Angalia ni mambo mangapi umeahirisha kuyafanya mpaka sasa kwasababu ya uoga,maneno ya watu,kutokuwa tayari kuwajibika na kutokujiamini? Unataka kuwa wa tofauti kwa ufahamu ule ule wa January? Ni kama kunawa na kukaa mezani kusubiria chakula ambacho hujakiandaa. Choose life,choose God. PROCRASTINATION IS A TWIN WITH LAZINESS.
Ushirika na Mungu!


 Quotes by Raphael JL:Njia pekee ya kujua na hata kupima uwezo wako ni kuamua kufanya,kujaribu. Ni aibu kusema HUWEZI na hujawahi kujaribu kufanya. Kuwasikiliza watu wanaosema huwezi ni kuamua kukimbilia kambi ya adui kujificha. ANZA KUFANYA UONE KAMA HUWEZI. Start Now.
Ushirika na Mungu!


 Mindset Upgrade:Jesus Up,uwe makini na watu wanaochelewesha hatma,asilimia kubwa ni marafiki. Unaamua kwenda mbele,wao wanakuvuta nyuma. Unaamua kuamka,wao wanataka ulale. Unaamua kufanya leo,wao wanakusubirisha. Angalia watu wanaokuzunguka,angalia ushauri wao kwako. Ni muhimu ukawa na maamuzi binafsi ukijua kuwa kuna gharama ya kulipa hata usipoamua. Kumbuka Mhubiri 3:1,yapo majira na kusudi. Kufanya jambo nje ya majira ni mateso. Kuwa makini na watu wanaoweza kukusaidia kuchelewa kufikia hatma yako. KESHO ITAJISUMBUKIA YENYEWE.
Ushirika na Mungu

Truth Point:PUUZIA. IGNORE. Sio kila neno au maneno unayosikia lazima uyape umuhimu na nafasi ndani yako. Kila anaesema maneno kinyume na neno la Mungu juu yako,mpuuze na uyapuuzie maneno yake. YAKATAE MANENO YAKE. Usizingatie asemacho wala usitoe muda wako kuyatafakari. UNACHOTAFAKARI ZAIDI KINAPATA NGUVU NDANI YAKO.Ama sivyo utaumizwa na kukwazwa na kukatishwa tamaa kila siku. Lifanye neno la Mungu kuwa kipimo cha ubora,anything less than what God says just IGNORE. Ama sivyo utakuwa mtumwa wa watu kwa maneno yao. Usiishi maisha ya MOODS,kubali Neno la Mungu. GOD IS LIFE. Choose God.
Ushirika na Mungu!



Quotes by Raphael JL:Usiemjua wala kumkubali,hawezi kukuongoza wala kukusaidia ukaelewa. Akitaka kukusaidia utasema anaingilia mambo yako. Tunapata HASARA za kutosha kwa kukataa uongozi wa Roho Mtakatifu. Fikiria vizuri. Atakuongozaje na humjui wala humkubali? HASARA NYINGI TUMEAMUA.
Ushirika na Mungu


Quotes by Raphael JL:Kuumia na kujisikia vibaya kwasababu ya ujumbe fulani bila mabadiliko ya kudumu ya tabia ni mateso sana,ni sawa na kuwa na jina zuri lisilofana wala kuendana na tabia na mwenendo wako. ASANTE UJINGA.
Ushirika na Mungu!


Quotes by Hebron Fr:We can't control what other people do and how they decide to treat us, but we can control our response to them.

Quotes by Raphael JL:Usilazimishe kueleweka kwani inawezekana sio MAJIRA yako. Kupata KIBALI wakati mwingine sio tu kutokana na uwezo wako,majira yako yakifika hutalazimisha mambo. KUSUMBUKA NI ISHARA YA KUJITEGEMEA.
Ushirika na Mungu!


Quotes by Raphael JL:Kuna wakati wa kukumbatia na wakati wa kuacha. Usipojua majira yako unaweza kulazimisha mtu alievaa koti la upupu. Kujua majira yako kunaondoa makosa na mahangaiko mengi sana. SEASONS DETERMINE DESTINY.
Ushirika na Mungu!


Quotes by Raphael JL:Kuna wakati wa kukumbatia na wakati wa kuacha. Usipojua majira yako unaweza kulazimisha kukumbatia  mtu alievaa koti la upupu. Kujua majira yako kunaondoa makosa na mahangaiko mengi sana. SEASONS DETERMINE DESTINY.
Ushirika na Mungu!


 Quotes by Raphael JL:Usilazimishe mtu akupende,kamwe. Usilazimishe kupendwa,kamwe. Kumbuka kupenda ni kuchagua. Usijilazimishe kuchagua wala kuchaguliwa. Ni mambo mengi sana unaweza ukawa unayaepuka ukiacha maji yafuate mkondo. Usije sema uliomba samaki ukapewa nyoka. KUWA NA NGUVU NI PAMOJA NA KUWA NA MAARIFA.
Ushirika na Mungu!



Quotes by Raphael JL:Mtazamo wako juu ya mtu mwingine unakuathiri wewe mwenyewe zaidi kuliko yeye. Mtazamo ni namna unavyo tafsiri,unavyo hukumu na unavyotoa maana ya mambo. Jaribu kumdharau mtu aliekuzidi uwezo uone kama uwezo wake utahamia kwako. Mtazamo ni CHUJIO. JIKAGUE.
Ushirika na Mungu!


Quotes by Raphael JL:Dont worry about the future. God knows the future. Even future is past tense to God. If you know and have God then your future is secured. Usihangaike kuijua kesho,fanya bidii kumjua Mungu alieiweka kesho. AM SAFE IN HIS HANDS.
Ushirika na Mungu!


Quotes by Raphael JL:Ni rahisi sana kuwa na mahusiano ya kiMungu kuliko kuwa na mahusiano na Mungu. Ni sawa na kupenda vya Mungu kuliko kumpenda Mungu. Ni sawa na kupenda mikono ya Mungu kuliko moyo wake. YOU MAY LIVE A GODLY LIFE WITH GOD HIMSELF ABSENT.
Ushirika na Mungu!


Quotes by Raphael JL:Kama humwelewi kamwe huwezi kumsaidia. Kama humjui usimuongelee. Kila mtu anatafuta mtu anaemwelewa,ni rahisi sana kumhukumu usiemwelewa. Find value in God. UELEWA NI MCHAKATO.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL: 
Ukiwekeza kwenye urafiki na mahusiano una uhakika wa kupata kibali ambacho itifaki haiwezi kukupa. Boss wako kwa wengine ni rafiki yao. Mtumwa na rafiki ndio utofauti mzuri kati ya itifaki na uhusiano. RELATIONSHIP CAN GIVE YOU WHAT PROTOCAL CANT. Tai sio Njiwa,ila wote ni ndege.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL:Measuring your IMPACT on PURPOSE by the number of LIKES in social medias is like running away from your own shadow in total darkness. Impact is fulfilling your purpose in the life of people according to God's Plan for you. Mitandao ya kijamii inaweza kuongeza kiwango chako cha uigizaji,kama unabisha piga selfie mara baada ya kuamka na uipost. ORIGINALS HAS NO COPIES.
Ushirika na Mungu!


Quotes by Raphael JL: Any strong relationship must be built,rooted,grounded and established under ONE AND SAME SPIRIT and MOTIVE. Two types of spirits or motives cant make a good relationship. The motive and motivation of a relationship should be the same and one. You have no DESTINY if you see different conflicting things in a relationship. NIA YA MAHUSIANO LAZIMA IWE MOJA INAYOFANANA.
Ushirika na Mungu!

Quotes by Raphael JL:Ni rahisi sana kuwa na mahusiano ya kiMungu kuliko kuwa na mahusiano na Mungu. Ni sawa na kupenda vya Mungu kuliko kumpenda Mungu. Ni sawa na kupenda mikono ya Mungu kuliko moyo wake. YOU MAY LIVE A GODLY LIFE WITH GOD HIMSELF ABSENT.
Ushirika na Mungu!


Quotes by Raphael JL:Ukiwekeza kwenye urafiki na mahusiano una uhakika wa kupata kibali ambacho itifaki haiwezi kukupa. Boss wako kwa wengine ni rafiki yao. Mtumwa na rafiki ndio utofauti mzuri kati ya itifaki na uhusiano. RELATIONSHIP CAN GIVE YOU WHAT PROTOCAL CANT. Tai sio Njiwa,ila wote ni ndege.
Ushirika na Mungu!


Quotes by Raphael JL:Njia rahisi ya kujua uwezo wako ni KUFANYA na hasa kwenye yale unayoogopa. Kumbuka,kila unachoogopa kinakutumikisha. Uwezo ni kama mbegu,usipoupanda huwezi kujua nguvu yake. Mbegu inatimiza kusudi kwa kupandwa. Acha kujihurumia,huenda adui yako mkubwa ni ufahamu wako. Kumbuka,ndege wa kufugwa ameshatengenezewa mazingira lakini TAI akienda kutafuta chakula hapangi foleni. ABILITY IS A FUNCTION OF CHARACTER,INVESTMENT AND DARING.
Ushirika na Mungu.


QUOTES by Pastor Raphael JL.

Contact

P.o.Box 1404 Mwanza Tanzania
E-mail : frhebron@yahoo.com , frhebron@hotmail.com
Mobile: +255716 423 428 , +255766 710 028

Website Visitors

Copyright © Hebron Fredrick All Rights Reserved Designed and Developed by Hebron Fredrick+255716 423 428