Mungu kwanza

Wednesday, 1 May 2013

YATAMBUE MAJIRA NA NYAKATI ZA MUNGU KUFANYA JAMBO FULANI KWENYE MAISHA YAKO.

     Majira ni msimu au muhura  wa jambo fulani kufanyika.
          Mhubiri 3:1,11:1-11
         2korintho 6:1-2
Biblia inasema kwenye mhubiri 3:1-2,There is a time for every thing,and a season for every activity under heaven: a time to be born and a time to be die,a time to plant and a time to uproot,kwa namna hii kila jambo unalo panga kulifanya lina majira na wakati wake kufanyika.Majira huwa yanatoa ratiba ya jambo fulani kufanyika na wakati unao liruhusu jambo hilo kufanyika.Mfano,masika,kiangazi,kipupwe na vuli haya majira yanaambatana na tukio fulani kama vile kilimo ,maandalizi ya mashamba,biashara,mavuno n.k.

    Anaye tengeneza majiraa haya ni MUNGU hivyo huwezi kujua majira fulani mpaka utakapo tengeneza mahusiano mazuri na yeye(MUNGU).
          Mhubiri 3:11
                                                                                         1Korintho 2:10
                                                                                          Rumi 8:14,16
                                                                                          Yoeli 2:30 
That is why soma kitabu cha Ayubu 22:21 utapata majibu yaliyo sahihi.
    Suala kufaidika au kutofaidika na majira fulani linategemeana na wewe mwenyewe katika kuwa makini na majira ya jambo husika.kwa maana nyingine ni kwamba kufaidika na majira fulani kupo mikononi mwako mwenyewe.kumbuka unapo tumia vizuri majira huwa anafanikiwa katika mambo yote
            Zaburi 1:3.
   The bible says,He is like a tree planted by streams of water which yields it's fruits in season and whose leaf does not wither whatever he does prospers.aahaa kumbe kwa maandiko haya tunapata maana ya kuwa siku zote kila jambo linastawi vizuri wakati wa musimu wake.Hata hivyo inawezekana kabisa kuto fanikiwa kwako kunatokana na kupishana na majira ya MUNGU,Halikadhalika yawezekana haujibiwi maombi yako kutokana na kupishana au kuto jua majira ya kuomba OMBI husika ,kwanamna hii haufanyi mambo yako kwa kwa wakati au vipindi vyake.
                         Zakaria 10:1.
  
                         JAMBO LIKIFANYIKA KWA WAKATI WAKE LIKUWA NA MAMBO                                                 YAFUATAYO
       1.Linakuwa kamili/lina utoshelevu.
 Mfano mimba ya miezi tisa hiyo ina utoshelevu siyo nusu ndivyo inavyo kuwa kwa mtu yule      anaye fanya mambo yake kwa makati na majira yake.
          Matendo 3:8
       2.Linaweza kuhimili mazingira yake(external environment/forces)
Siyo njiti ni kamili na ndiyo maana lina uwezo wa kuvumilia mazingira hata yakiwa magumu kiwa kiasi ngani.Kama vile mtoto akitimiza miezi tisa anaweza kuhimili hali ya hewa ya nje ukilinganisha na njiti.
                     Marko 10:48.
       3Ni rahisi kulipata (very cheap to get it/most vailable)
Hii ni kwasababu  MUNGU mwenyewe anakuwa ameshuka mwenyewe kuleta majibu ya haja husika.
                Mwanzo 3:8
      It is like to pick the ripen fruits,which is very easy compered to unripen fruits
                 Mathayo 1:22-23.
                 Isaya 43:26
                 Luka 18:41
                        
                        TUFANYE NINI SASA?(WHAT TO DO?/WHAT IS OUR RESPONSIBILITIES?
                A.Fanya maandalizi kiibada(moyoni)
Uwe na maono ya kuimalisha ibada zako na mfumo wako wa kumwabudu na kumtumikia  MUNGU kwa namna ya kuona UTUKUFU mkubwa wa MUNGU.Ni muhimu sana kuonesha uchaji wako kwa MUNGU wako ilinapo kuja kwa kwako akute moyo uliyo pondeka na kunyenyekea.
              Mithali 16:1,23,26,
               ''''''''''''  4:23
               Mathayo 5:8
   Je,unataka MUNGU akufanyie nini kwenye maisha yako?Luka 18:4.

                 B.Fanya maandalizi/mipango mizuri kimwili/kimtaji au kimradi
prepare the physical materials that will be used by GOD to lift you.Andaa vitu vitakavyo husiana na mahitaji yako kwa MUNGU.Mfano mwanamke mane wa Serepta 1Falme 17:12-26(alikuwa na mafuta na konzi la unga)
Wanafunzi wa YESU Marko 6:38,Mathayo 14:16-17.(Walikuwa na mikate mitano na samaki wawili)

                C.Kaa eneo la muujiza wako muda wote.
Bathlomayo kipofu alikaa kwenye muujiza wake mda wote Marko 6:46,Luka 18:35-43.Pia kuna huyu kiwete alikaa karibu na lango na ndiyo maana alipata muujiza wake kwa wakati wake.Matendo 3:2,kumbuka huyu alikaa karibu na lango.
Kama eneo lako la muujiza ni shamba(Kilimo)usiondoke shambani mpaka MUNGU atakapo kukuta na kukupa muujiza wako hali kadhalika ukiwa shuleni.Na maeneo mengine.Usiwe na haraka kuondoka kwenye muujiza wako.
NOTE,
        Jambo la msingi kujua hapa ni kwamba huwezi kupata muujiza wako mpaka pale utakapo kaa eneo husika ukisubili muujiza wako.Nakusihi mtumishi wa MUNGU usikate tamaa vumilia hata kama ni eneo gumu kiasi gani kumbuka MUNGU hapo ulipo ndipo alipo kuandalia muujiza wako acha kuutafuta muujiza wako kwa kuombewa na watumishi wengi ukijua ndiyo mafanikio au nkupatikana kwa muujiza wako,mgoje BWANA kwenye eneo lako.


 MUNGU AKUBARIKI NAAMINI UTAPATA KITU CHA KUSAIDIA  UKINGOJA MUUJIZA WAKO
                        Mwl,Oscar Emmanuel  and  Fredrick Hebron

   
    
                   
Share:

0 comments:

Post a Comment

Contact

P.o.Box 1404 Mwanza Tanzania
E-mail : frhebron@yahoo.com , frhebron@hotmail.com
Mobile: +255716 423 428 , +255766 710 028

Website Visitors

Copyright © Hebron Fredrick All Rights Reserved Designed and Developed by Hebron Fredrick+255716 423 428