Mungu kwanza

QUOTES FROM YKM FOUNDER


Usikate tamaa,kujua kingereza sio kuwa na akili kwani kingereza sio kipimo cha uwezo wa akili. Ila usiache kujifunza ktk mazingira yako. Ni heri uamini Mungu yupo kuliko usiamini halafu ukamkuta. Akili haziko ulaya peke yake. Mungu hana upendeleo. Usiupime uwezo wako wa akili kwa vitu visivyo na akili.MUNGU SIO DIWANI.

××××××××××××××××××××××××××××
Usihangaike kujitahidi kufanya mambo kana kwamba unamshawishi Mungu akupende zaidi leo kuliko jana,kumbuka alikupenda wakati hata hustahili na akakufia msalabani hivohivo. Yesu Kristo ni yeye yule,jana leo na hata milele. Upendo wake kwetu hauna kipimo wala mipaka. You cant qualify the love of God by your standards,God's love is unique. LOVE WINS. Alitupenda Kwanza
×××××××××××××××××××××××××××××
Quotes by Raphael JL:
There is a difference between what you want,what you need and what you deserve. When what you want and need happens to be what you deserve,you have maximum satisfaction. You deserve only what comes from the SOURCE OF LIFE,God. Until you get what you deserve,you will never settle. The Samaritan woman got what she deserved from Jesus and forgot what she even needed. YESU ANATOSHELEZA MPAKA KILINDINI.
YKM:Satisfied in Jesus!
××××××××××××××××××××××××××××××
Quotes by Raphael JL:
Ukiona unajitutumua na kujilazimisha kuyafanya mahusiano yaonekane yako sawa na huku damu inamwagika moyoni ila unaogopa kughairi kwani ulisema BWANA ALIKUONYESHA ujue lijalo mbele yako utaishi ukijutia kila sekunde. Kubali tu ulimsingizia Mungu,utubu yaishe. Kumbuka nguvu zako zina mipaka,bila Mungu utajichukia sana. Be honesty. ITAKUFAA KWA WAKATI WAKE.
YKM:Satisfied in Jesus!
××××××××××××××××××××××××××××××
Quotes by Raphael JL:
Unaposubiria unachoAMINI kitatokea unahitaji uhakika mkubwa kuliko vikwazo vyote utakavyokutana navyo njiani,ama sivyo kushindwa kwako hakuhitaji nabii. Weka tumaini lako kwa Mungu. Ni kweli kuwa mengi ni magumu ila hayajashindikana.
IMANI NI HAKIKA.

YKM:Satisfied in Jesus
×××××××××××××××××××××××××××××
Quotes by Raphael JL:
Mazingira ya nje na maneno ya watu huwa na tabia ya KUTINGISHA ile HAKIKA YA IMANI tuliyonayo kwa Mungu juu ya tumaini la matarajio yetu. Ndo maana kuijenga imani yako lazima uzidi KULISIKIA NENO LA KRISTO. Huwezi kuwa na tumaini kama huna taraja,unaposubiria unachotarajia unahitaji uvumilivu na tumaini.  UMECHOKA KUNGOJA? Mungu akuinue leo kwa jina la Yesu.

YKM:Satisfied in Jesus!


Quotes by Raphael JL:
Utofauti kati ya unachotaka na unachostahili ni kuwa cha kwanza ni sawa na unavyoona na kutamani wewe ila cha pili ni kile unachopewa kwakuwa ni wewe na sio mwingine maana uko peke yako. Unachohitaji ni kukidhi hitaji. Unaweza kuhangaikia unachotaka na kuhitaji na kumbe unachostahili kiko umbali wa utii na unyenyekevu.Kufanana sio kuwa,usiogope. Unachostahili ndicho kimebeba kusudi halisi. BALANCING  OBJECTIVITY OVER SUBJECTIVITY.

YKM:Satisfied in Jesus!

Quotes by Raphael JL:
Imani haipo mahali pasipo na matarajio,matarajio ni wakati ujao. Kwakuwa imani ni kuwa na HAKIKA basi matarajio usiyokuwa na hakika ya kutokea kwake yatautesa tu moyo. Njia mojawapo kubwa ya kujenga HAKIKA NA BAYANA ni kujua Neno la Mungu linasema nini juu ya taraja lako na kuamini kuwa anachosema Mungu ndio ukweli na uhalisia. Unatarajia nini? IMANI NI UHAKIKA,SIO KAMARI.


YKM:Satisfied in Jesus!

Quotes by Raphael JL:
Uhakika ndio huzaa imani,bila kupata uhakika usianze safari. Imani ni hakika ya bayana. Hii hakika inatengenezwa na yale unayosikia na kuyaona kila siku. Huna uhakika na jambo lolote unalotaka kufanya,basi huna imani ktk hilo. JE,UNA HAKIKA?

YKM:Satisfied in Jesus!

Quotes by Raphael JL:
Usimvishe pete kwa haraka wala usivishwe pete kama kufunika kombe. Usije ukajikute umevishwa pete wewe lakini moyo uko kwingine. Mambo ya moyoni sio ya kuyarahisisha,kama huoni mwelekeo basi usielekee. Kuishi kwa sheria ni mateso na huku neema ipo. Kama tu hujaoa au kuolewa na unajilazimisha,je baadae? KOSA LA BAADA LITASAHIHISHWA KWA UVUMILIVU.

YKM:Satisfied in Jesus!


Quotes by Raphael JL:
Jifunze KUJIZUIA. Sio lazima uvae kila aina ya nguo. Sio lazima. Jizuie. Sio lazima ufanye kile kila mtu anafanya. Wewe sio kila mtu. Wewe ni wapekee. Usijirahisishe. Huwezi kujizuia kama huna sababu. JUST BE YOU.
YKM:Satisfied in Jesus!


Quotes by Raphael JL:Ukiona unakosea,unatenda dhambi na nafsi yako haikuhukumu haimaanishi unachotaka kufanya au unachofanya ni sahihi. Ila inamaanisha nafsi yako IMEKUFA,haina tena uwezo wa kuona au kusikia,iko kama maiti. Ukifika hapo unaweza kuitetea dhambi hata kwa  kujificha kwenye jani la mgomba kwenye mvua ya mawe. Kumbuka ni wapi ulipokosea ukatubu,ni heri aibu ya toba kuliko ya gadhabu. MY TIME,MY TURN.

YKM:Satisfied in Jesus!

Quotes by Raphael JL:Anytime that you REMOVE God in the equation and definition of SUCCESS it then means that your destruction is predictable. God is the main and principal principle that works out everything according to design. KUMKATAA MUNGU NI KUJICHUKIA. God Sustains.

YKM:Satisfied in Jesus!

Quotes by Raphael JL:Usikate tamaa,kujua kingereza sio kuwa na akili kwani kingereza sio kipimo cha uwezo wa akili. Ila usiache kujifunza ktk mazingira yako. Ni heri uamini Mungu yupo kuliko usiamini halafu ukamkuta. Akili haziko ulaya peke yake. Mungu hana upendeleo. Usiupime uwezo wako wa akili kwa vitu visivyo na akiki.MUNGU SIO DIWANI.

YKM:Satisfied in Jesus!

Quotes by Raphael JL:Vitu vyepesi au virahisi vina gharama kubwa sana mwishoni,mwanzoni unaweza hata kupewa bure. Unaempata kwa GHARAMA utailinda thamani yake. Anaejirahisisha,hana uzito wa kugharamiwa. Kumbe gharama inalinda thamani na ubora. Chagua unataka ulipe gharama wapi,kwa mtu,kwa Mungu au kwa Shetani. Unataka kulipa gharama mwanzoni au mwishoni. Vyakupewa vinadumu kwa neema ya mahusiano yaliyopo. Pizza sio Bagia hata kama zote hutumia moto na mafuta. WEWE NI WAKILI WA SIRI ZA KRISTO.

YKM:Satisfied in Jesus!

Quotes by Raphael JL:Usishangae mtu uliemlea akaja kukubariki au akaja kukuzushia mengi ya kukuchafua. Yote mawili yapo na yanawezekana. Unapomsaidia mtu fanya ukilinda udhaifu wako. Unaposaidiwa fahamu anaekusaidia ana udhaifu kama mwanadamu,MLINDE. USIWE WAKALA WA UHARIBIFU.

YKM:Satisfied in Jesus!

Quotes by Raphael JL:Usipime uwezo wako kwa kujilinganisha,kujishindanisha na wengine. Wewe sio mzuri kuliko wengine. Wewe ni mzuri kwani ndivyo ulivyoumbwa. Kujilinganisha ni maandalizi ya uharibifu. Usisumbuliwe na TUZO za dunia hii. FIND VALUE IN GOD.

YKM:Satisfied in Jesus!

Quotes by Raphael JL.
Mtu anaemdharau mwingine kwa sababu yeyote ile ni sawa na kumvisha nguruwe pete ya Tanzanite puani ukitegemea hataidumbukiza kwenye matope, dharau ni ishara ya kutokujiamini au kiburi au vyote. FIND VALUE IN GOD.
Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
Only the presence of God can cover even your nakedness, so worship (Live) in His Presence. FIND VALUE IN GOD.
Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
Do everything connected to your purpose on earth so that when you die what you did will continue living so that you live a legacy you leave. LEAVE A LEGACY YOU LIVE.
Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
Tabia yako ina nguvu na maana kubwa zaidi kuliko karama, vipawa na vipaji vyote ulivyonavyo. JICHUNGUZE.
:Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
 Kukubali kuwa utabadilika au umebadilika hakukufanyi ubadilike mpaka ule UFAHAMU Ulioupata umetekelezwa na umekutengenezea msimamo katika nia yako kiasi kwamba hakuna kitu kitakurudisha nyuma.
 Jesus Up- YKM!

Quotes by Raphael JL.
Ulichonacho anachakihitaji masikini au muhitaji ni kikubwa sana kwake ukimpa kuliko kudhani ni kidogo na usimpe mpaka upate kikubwa, thamani ya msaada wako kwa muhitaji sio kiwango unachotoa.
Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
If god can use stones or animals to change people BUT if He choose you then you are wonderfully and fearfully designed to the beauty of his Glorious Splendour, FIND VALUE IN GOD.
Jesus Up-YKM!


Quotes by Raphael JL.
If your values as a Leader doesn’t come from The Kingdom of God, it means your leadership is limited, just give it time.
Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
People’s opinions counts nothing to what God created, only what God says is FINAL, so NO MORE PEOPLE MADE STRESS.
Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
Never ignore any efforts you are putting on Godly issues, after all investing in the kingdom of God is heavenly insured.
Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
Your age has nothing to do with DOING THE BEST FOR GOD, the potentials in you given the right timing, attitude, environment and precision can bring a surprise of exceptionalism to you and coming generations.
Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
If you can compromise God and standards of His Kingdom for a man or a woman or any other thing, you have qualified for destruction that’s being too cheap. FIND VALUE IN GOD.
Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
Kama thamani yako haipatikani ndani ya Mungu ujue kitu chochote kinaweza kukunua na ukaatumika vibaya, namaanisha unaweza kununuliwa na kubadilishwa maamuzi na msimamo wako na makande na mihogo au papai. FIND VALUE IN GOD.
Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
Kusudi lina nguvu kuliko vikwazo, kusudi liko juu ya changamoto hasa unapokuwa unalijua, hakuna ugumu unaoweza kuzuia kusudi.
Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
Unapokubali kumfuata Yesu Kristo na kuwa raia wa Ufalme wa Mungu ujue kufa kwako ni faida na kuishi ni Kristo, kama utaendelea kuishi bali ni Kristo anaishi ndani yako, yaani huna chako. FIND VALUE IN GOD.
Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
Kutamani kumtumikia Mungu, au kusema umeguswa kumtumikia HAITOSHI,usijihurumie, usikubali kuhurumia INUKA,JIPANGE na uchukue hatua za KUFANYA, kutamani bila matendo nisawa na kukimbia mchamchaka baharini.INUKA.
Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
If you hate knowledge you must suffocate in ignorance and perish in foolishness. FIND VALUE IN GOD.
Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
Every time you discover more of God in anything, you also discover how ignorant you are. FIND VALUE IN GOD.
Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
Mtu anaemdharau mwingine kwa sababu yeyote ile ni sawa na kumvisha nguruwe pete ya Tanzanite puani ukitegemea hataidumbukiza kwenye matope, dharau ni ishara ya kutokujiamini au kiburi au vyote. FIND VALUE IN GOD.
Jesus Up-YKM!

Quotes by Raphael JL.
Jesus is the Founder of every goodness, be good always by accepting his mandate. FIND PURPOSE IN GOD.
Jesus Up-YKM!


0 comments:

Post a Comment

Contact

P.o.Box 1404 Mwanza Tanzania
E-mail : frhebron@yahoo.com , frhebron@hotmail.com
Mobile: +255716 423 428 , +255766 710 028

Website Visitors

Copyright © Hebron Fredrick All Rights Reserved Designed and Developed by Hebron Fredrick+255716 423 428