Mungu kwanza

Pastor Gidion Mwakanjuki presents "Book launch"


Pastor Gidion A. Mwakanjuki ni Mwalimu wa Neno la Mungu kutoka Jijini Mbeya, amekuandalia kitabu kizuri chenye jina MISINGI YA VIZAZI VYA WANADAMU
Kitabu hiki kitazinduliwa tarehe 1/1/2022 Katika kanisa la K.K.K.T ..Mbeya.

Jipatie nakala kwa Tsh.5,000 tu.
Unakaribishwa sana mtu wa Mungu.

Upatapo taarifa hii Mwambie na mwingine

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0766-604 015



Nakuletea sehemu kidogo ya kitabu hiki
Kwanini Kristo anapozaliwa duniani Aziliwi kutokana na mbegu inayotoka kwenye kiuno cha Yusufu mchumba wa marium?
Kwa nini Adamu wa pili anazaliwa kutoka Na mbegu ya Mungu isiyoharibika yaani Neno la Mungu?

Uzao wa Nuru uliathiriwa Tangu Adamu wa Kwanza aingie kwenye mti wa ujuzi mema (Nuru),na mabaya(Giza).Tangu wakati Huo mfumo wa Uzao katika kiuno Cha Adamu wa Kwanza ukaathiliwa na Nuru na Giza ;Ndio Maana Adamu aliyekuwa Uzao wa Nuru akaweza kuzalisha mwana ambaye ni Uzao wa Giza yaani Kaini .Kutokea kwenye Uzao wa Adamu Mungu akaanza kutenga Uzao wa Nuru mbali na Uzao wa Giza ,kama vile alivyotenga Nuru na Giza siku ya kwanza ya uumbaji. Hata siku ambayo Mungu atatuondoa kwenye hii Dunia yenye Giza na Nuru itakuwa ni hatua ya juu Sana kwa Uzao wa Nuru kutengwa mbali na Giza .Hata sasa Mungu Angalia analinda Uzao kwa kulinda mbegu safi isichanganyike na mbegu ya Giza .Danieli 2:43 watajichanganya nafsi zao kwa mbegu za wanadamu; lakini hawatashikamana, kama vile chuma kisivyoshikamana na udongo.
Ezra 9:2 basi mbegu takatifu wamejichanganya na watu wa nchi hizi
Kaa tayari kupokea kitabu hiki Cha Misingi ya Vizazi vya wanadamu.

Mungu ana jambo na uzao wetu
Pastor Gideon Mwakanjuki


Contact

P.o.Box 1404 Mwanza Tanzania
E-mail : frhebron@yahoo.com , frhebron@hotmail.com
Mobile: +255716 423 428 , +255766 710 028

Website Visitors

Copyright © Hebron Fredrick All Rights Reserved Designed and Developed by Hebron Fredrick+255716 423 428