●Ukiona baba ana watoto kwa mama wawili au watatu tofauti...JIULIZE
● Ukiona unaishi na kaka zako kama
watatu mbele yako hawajaoa na wewe ni mdogo kuliko wao na wapo tu....kila
mahusiano yanaenda ila hayafiki mwisho....JIULIZE
● Ukiona unaishi na dada zako kama
watatu mbele yako hawajaolewa na wewe ni mdogo kuliko wao na wapo tu....kila
mahusiano yanaenda ila hayafiki mwisho....JIULIZE
● Kwenye issue za INTELLIGENCE...moja
kati ya zana za kufanyia kazi is your ability to make decisions and judgment
based on PATTERN AND REPETITION...
So
kumbe you can see a certain pattern...mfano kama nataka kukukamata
Faraja...nasoma pattern yako kwa muda hata wa mwezi...unaondoka home saaa
ngapo, unapanda gari gani, unaelekea wapi, unakula wapi, unarudi home saa
ngapi...baada ya mwezi I CAN PREDICT YOUR ROUT
●So unaweza kusoma PATTERN ZA
FAMILIA...unaona una madada wanne na mpaka leo hawajaolewa...ila profile zao
huwa zinabadilika based on INFATUATION...anampenda mtu...wanaanza kuelekea
mahali...GHAFLA....Anakukimbia
●Una wakaka mpaka wanageuka kuwa kama
mababu...mpaka hata wewe mdogo unaogopa kuoa kwani duuu makaka wapo tu...wana
kila sababu ya kuoa ila wapo tu...
● Ukichunguza unaiona PATTERN FULANI...
Hii ni kama pattern ile ile ya unakuta baba
ako alipata mtoto nje kabla ya wewe kuzaliwa...mama yako nae alikuja na
mtoto...wakaona...wakakupata wewe na wenzako...hii nayo ni PATTERN...
NAOMBA KILA MTU AFANYE TATHMINI YA
PATTERNS KWENYE FAMILIA YAKE .
1. PATTERN IN ACADEMICS
2. PATTERN IN RELATIONSHIPS
3. PATTERN IN DEATH
4. PATTERN IN MARRIAGE
5. PATTERN IN LIFE PLANS AND VISIONS
6. PATTERN IN PREGNANCY
7. PATTERN IN DEASESES
●UNACHOPASWA KUKIFANYA NI;
-DRAW THE LINE PRAYERS
-MAY THE HOLY SPIRIT HELP YOU
-REPENT. Huwezi kuyajua haya kama haujaokoka
-WATAKAOOMBA KWA IMANI, UTAKATIFU NA
KUMAANISHA WATAPATA USHINDI.
- NAAMINI WATU WATAOMBA...WATATAFUTA
SPACE HUKO WALIKO WAZAME KUOMBA NA SIO KUKATA MAOMBI HAPA
-MUNGU AWAFUNGUE WALIOCHOSHWA NA
PATTERNS ZA UHARIBIFU
-WENGI MTAFUNGULIWA KWA JINA LA YESU.
Hebron
Fredrick
YKM!!! JESUS UP! 2018-03-11
Pst. Raphael Jl
0 comments:
Post a Comment