Alama maana yake ni kioneshi au kitambulisho kinacho toa maelezo ya kitu fulani au mahali fulani.Shetani hawezi kumfuatilia mtu kama hamna kiashiria chochote kinacho mpa uhalali wa kuingia ndani ya mtu huyo.
Shetani ana angalia kwanza mpenyo ndani yako ndipo anakutawala .
kwa maana hii kama ROHO yako umeicha wazi yaani hauna neno la MUNGU ndani yako jua kabisa Shetani ni rahisi kuingia ndani yako na kufanya makao huko.Hakikisha umeuziba moyo wako kwa neno la MUNGU ili shetani asipate nafasi ya kukumiliki
Math 12:43-45.
Pepo anaweza kumtoka mtu lakini anaouwezo wa kurudi kama mtu huyo aturuhusu moyo wake kufanya maovu au dhambi.
1petro 5:8b
Hajilishi umeokoka namna gani lakini ukisha ruhusu moyo wako kutawaliwa na bhambi adui yako(shetani) huja kwa nguvu zaidi.kumbuka shetani ni mshitaki wetu na kwa hiyo hutuwinda usiku na mchana ili atumeze.
AINA ZA ALAMA
1.Kumwaga Damu isiyo na hatia na nchi ikatiwa unajisi
- Zaburi 106:38
-Yeremia 22:29-30
2.Tamko baya la mzazi wkati wa uchugu(kujifungua)
-Samuel 4:19-22
-Luka 5:1-11
3.Kukataliwa na mzazi au mtu wa karibu na wewe.
-1Samwel 16:1
4.Alama ya magonjwa.
Luka 8:43-48
5.Alama ya uovu kwa watoto.
Ezra 8:21