Mungu kwanza

Saturday, 5 October 2013

KAMA SI BWANA ISRAEL NA ASEME SASA

Namshukuru Mungu aliye nilinda toka mwanzo wa maisha yangu mpaka kufikia siku hii ya leo ninayo andika nakala hii.Jina langu la kuzaliwa na kubatizwa naitwa FREDRICK HEBRON nimzaliwa wa mbeya.Namshukuru Mungu aliye niokoa toka mwaka 2005 nikiwa na miaka 12 tu  mpaka leo namtumainia BWANA.siku naokoka ilikuwa kama utani lakini kumbe MUNGU ana kusudi kubwa sana juu yangu.bila Yesu nisengefika hapa nilipo,nimeishi maisha ya kumtumainiMungu siku zote.Napenda sana kumtumikia Mungu kwa maana yeye ndiye kiongozi  wa maisha yangu.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Contact

P.o.Box 1404 Mwanza Tanzania
E-mail : frhebron@yahoo.com , frhebron@hotmail.com
Mobile: +255716 423 428 , +255766 710 028

Website Visitors

Copyright © Hebron Fredrick All Rights Reserved Designed and Developed by Hebron Fredrick+255716 423 428