Vision(maono) is something imaginary one thinks one sees or is ability of sight, an ideal or goals towards which one aspires. Maono kwa kifupi ni picha unayo itengeneza kwenye ufahamu kuhusu mambo yajayo. Vision is all about thinking and planning about the future. Maono ni uwezo wa kuona, kupangilia na kuamini mambo yasiyo weza kuonekana kwa macho ya nyama, maono ni uwezo wa kuona wapi unakoenda.
Naweza kusema kushindwa kwa watu wengi katika maisha yao ni kwasababu hawana maono mazuri kuhusu maisha yao.
SIFA ZA MTU MWENYE MAONO (FEATURES OF A PERSON WHO HAS A VISION)
>Huwa anaona ushindi wakati wote
>Mtu mwenye maono ana msimamo wa kimaisha
>Mtu mwenye maono anauwakika na anacho kifanya
>Mtu mwenye maono hawezi kuyumbishwa mpaka ametimiza maono yake.
NAMNA MAONO YANAVYOWEZA KUPATIKANA
Maono yanabebwa na imani, kwahiyo Kuna umuhimu sana kujenga imani iliyo thabiti. Zingatia yafuatayo.
1.Kuzaliwa kwa iman(birth of faith)
Ili maono yako yazaliwe ndani yako nilazima imani izaliwe ili kufanikisha maono yako kutimia. Faith is created by different association (imani inatengenezwa na mambo yafuatayo) au Hatua za kupatikana kwa maono.
~Kusikia
~Kuona
~Imani inakufanya kujengeka, kuimba maono yako. Maono yanakusaidia kufikiri tofauti na wanafikiri wengine.
Ezekel 33:12
Kutoka 15:2
Zaburi 98:1
~Kuweka kwenye matendo kile ulicho jiwekea
~Baadaye zinatokea ishara ambazo zina kutambulisha kuwa wewe ni nani.
~Baadaye unanza kuyaimba maono yako ambayo muda mwingine yanatengeneza maumivu ndani yako.
THE IMPORTANCE OF VISION (UMUHIMU WA MAONO).
>Vision determine your
Hebron Posted via Blogaway
0 comments:
Post a Comment