
Kama binti fahamu kuwa uzuri wa nje unajengwa ndani na thamani ya uzuri huo utadhihirishwa kwa kutumia akili yako, pete ya dhahabu puani mwa nguruwe itaishia kwenye matope; kuwa mwenye akili ili thamani yako ionekane ndani ya matumizi ya akili zako, uwe mwenye akili uzuri wako uwe na nguvu.