1. Maamuzi yoyote huweza kubadilisha matokeo ya jambo lolote duniani kutoka katika hali ya uzuri kwenda katika hali ya ubaya au kutoka katika hali ya ubaya na kwenda katika hali ya uzuri
2. Maamuzi huweza kubadilisha matarajio ya watu (
peoples expectations) walitarajia mabaya yakatokea mema, walitarajia mema
yakawa mabaya
3. Maamuzi huweza kubadilisha Uchumi wa mtu
kutoka katika hali mbaya kabisa, kwenda katika hali nzuri au kutoka katika hali
nzuri kwenda katika hali mbaya ( Inategemea alichokiamua) ....... SOMA HAPA.....http://tuntufyemwakyembeministries.blogspot.com/2017/09/normal-0-false-false-false-en-us-x-none.html