Inauma sana. Inaboa na kwakweli inakatisha tamaa sana. Wewe fikiria uko
kwenye group la whatsapp au telegram au uko wenye FB au INSTA au tu uko
kwenye kundi la watu zaidi ya mmoja. Wewe unapost jambo lako ukitegemea
watu watalifurahia au watachangia. Ila unaona kimyaaaa, halafu hapo hapo
mtu mwingine anapest kichekesho, unaona watu wanavyochangamkia. Unaleta
shida yako na unapost lakini watu unaona kabisa wamesoma ila ndo hivo
penye miti hapana wajenzi. Kila ukijitahidi, hata unaanza ujifanya una
jambo ili watu waje ndo useme, uaona tu mtu ametuma EMOJI lakini kimya.....................................Soma zaidi bofya hapa..http://fichuka.blogspot.com/2017/08/ubaya-wa-ubinafsi-uzuri-mbaya.html
Tuesday, 10 October 2017
Christopher Mwakasge- Jinsi ya kuponya Moyo ulio umizwa
Popular Posts
-
Maana ya neno kizuizi ni kipingamizi.Na kitu chochote kinachofanya ushindwe kupiga hatua au kusonga mbele hicho kinaitwa KIZUIZI. ...
-
Majira ni msimu au muhura wa jambo fulani kufanyika. Mhubiri 3:1,11:1-11 2korintho 6:1-2 Biblia inasema kwenye ...