Mungu kwanza

Tuesday, 18 June 2013

KAMA WEWE NI MWOMBAJI BASI CHUKUA HATU NYINGINE

Hebu chukua hutua kama mtanzani kuliombea Taita lako na usiewe ni mtu wa kulalamika tu wakati hata haujawahi kuliombea taifa lako.Taifa liko kwenye mpito na kunukia kwa upotevu wa Amani ya Taifa letu la Tanzania haijilishi dini yako likini kama wewe ni mtanznia chukua nafasi ya kulisogeza Taifa la Tanzania mbele za BWANA.
    Kumuka migogoro inayo tokea kwenye Taifa letu sasa hivyi sometimes naweza kusema waombaji tumelala.Imefiki wakati mpaka watumishi wa Mungu wameweka siasa mbele na ushabiki wa kivyama na kusahau wajibu wa kama watumishi wa Mungu.Naomba unielewe simanishi kwamba mtu anaye mtumikia Mungu asiwe mwnasiasa.ila siasa hizo zisizidi mpaka unasahau wajibu wako.Mkristo ukisimama kwa nafasi yako unao uwezo wa kuliponya taifa lako.
                      2nyakati 7:14(2cronicles 7:14)
                      If my people who are called by my name,will humble them-selves and pray and seek my face and turn from their wicked ways,then will I hear from heaven and will forgive their sin and heal their land.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Contact

P.o.Box 1404 Mwanza Tanzania
E-mail : frhebron@yahoo.com , frhebron@hotmail.com
Mobile: +255716 423 428 , +255766 710 028

Website Visitors

Copyright © Hebron Fredrick All Rights Reserved Designed and Developed by Hebron Fredrick+255716 423 428